Mwanamuziki wa bongo fleva diamond platnumz leo ameamua kutuonyesha how muziki wa bongo fleva unalipa kwa kuamua kufungua wasafi tv na wasafi radio kwa pamoja na kuonyesha akazi makuu mapya ya wasafi ambapo kutakua na kila aina ya shughuli zote zinazohusu wasafi

No comments:
Post a Comment