baby am fool for you
mapenzi kipofu kipenda maovu.huoni
ooh love is blind never seem so true
when am broke natumianga bro please call me
akipiga naomba dooh...
mbona kuna message inajitumanga send me money
tukate long story short yoyooo
vumilia na mm please don't leave me.
don't let money fool you. sponsors just wanna use you...
namwambia mtoto wa mama hasiharibikeee
ananishoo ni biasharaa tuu
na siwezi mshibishaa na pangangaa tuuu
na mwezi ukiisha Sina ujanja too
Na renti ikibishwa huanga blunder to
. Bebi Bebi Bebi Kwani me wakati Sina
. Leo Sina kitu kesho ntafanikiwa
Na nikibarikiwa ahadi yangu ni sitasahau pahali nimetoka
na weh Bebi me wakati Sina.
Leo Sina kesho ntafanikiwa too
Na nikibarikiwa ahadi yangu ni sitahau nilipotoka na weh
You're my only one Girl I wanna, girl I wanna take you to my mama show her you're the one for me I'll never ever leave you believe me when I say ull forever be my queen
Yule nalala naye kwa dhiki ntalala naye Kwanzaa faraja Ahadi yangu ndo hiyo
Kama pamoja tumelia, tutacheka pamojaa
Wou vumilia na mimi please don't leave me
Don't let the money fool you Sponsors just wanna use you
Mtoto wa mama usiharibike.
Bebi Bebi Bebi Kwani me wakati Sina
Yule nalala naye kwa dhiki ntalala naye Kwanzaa faraja Ahadi yangu ndo hiyo
Kama pamoja tumelia, tutacheka pamojaa
Wou vumilia na mimi please don't leave me
Don't let the money fool you Sponsors just wanna use you
Mtoto wa mama usiharibike.
Bebi Bebi Bebi Kwani me wakati Sina
. Leo Sina kitu kesho ntafanikiwa
Na nikibarikiwa ahadi yangu ni sitasahau pahali nimetoka
na weh Bebi me wakati Sina.
Leo Sina kesho ntafanikiwa too
Na nikibarikiwa ahadi yangu ni sitahau nilipotoka na weh
No comments:
Post a Comment