
Kwanza kabisa thanks to the lord
Uzuri wako sio wa kudownload
Unanishangaza kila siku mi sichokii
Mwengine kama we mi sitakiii

Tururutu turu (wewe ndio fimbo yangu beb)
Turururu turu turu (ongeza raha Zaidi)
Tururutu turu (nikuweke tu kabisa ndani)
Tururutu turu (kwangu wewe ndo burudani)
Tururutu turu wewe (wewe kiboko yangu beb)
Turururu turu turu (ongeza utamu zaidi)
Ni wewe tu tu beb ni weweee
I’ll give u everything …unanivuruga we
I’ll give u everything
I’ll give u everything darling
I’ll give everything
Nitafunga moyo wangu sitoki funguo nikukabidhi we
I’ll give u everything
Nitakupa muda wangu na notii chochote unachotaka
I’ll give u everything
Unarangi ya chocolate magnetic romantic
Jinsi ulivyo humble beb so sexy wanivuta zaidi
Kurudi nyumbani late me sitaki
(Kurudi nyumbani late me sitaki)
Sababu nina wivu moyoni ukiwa mbali
Sababu ni wivu moyoni eee
No comments:
Post a Comment