Nishawahi kuwaza sana na kujua
Kwa nafsi nnachitaji ni mapendo na furaha
Japo nishateswa sana ila na jua ipo siku nitapata mmoja ambaye atanifaa
Zile mara chozi limenitoka
Zile mate hayapiti kama nyoka
Zile siishi kulia lia, machungu kuvumilia
Zile kulizwa lizwa nishachoka
Zile kutumika kama bazooka
Zile mengi nimeshapitia ila moyo ndo umekosaa
Papara sina (sina X2) X4
Japo sina inamani, moyo unatamani
kuwa na thamani yake
Ila………………..ila ………
Zile mara chozi limenitoka
Zile mate hayapiti kama nyoka
Zile siishi kulia lia machungu kuvumilia
Zile kulizwa lizwa nishachoka
zile kutumika kama bazooka
Zile mengi nishamepitia ila moyo ndo umekosaa
Papara sina (sina X2) X4
Najua najua nitakuja kupenda tena
Sina sina sina….
Sina paparaaah..
Lyrics prepared by lucianlui
No comments:
Post a Comment