Breaking

Thursday, April 6, 2017

DAYNA NYANGE "Asanteni watanzania"

DAYNA NYANGE: "asanteni watanzania" 

Mwanamuziki huyo nyota wa bongo fleva anayebamba na nyimbo ya komela aliyo mshirikisha Mwanamuziki Bill nass
Amewashukuru watanzania kwa kukesha kumpigia kura kwa wingi na kumwezesha kushinda Katika tuzo Huko nchni NIGERIA
Nyota huyo wa muziki ameshinda tuzo mbili na kuleta heshima kubwa kwenye muziki wa Tanzania
Nyota huyo ameshinda tuzo mbili kama inavoonekana pichani
1.best vocal performance female ♀
2.best African artiste

No comments:

Post a Comment