Breaking

Thursday, April 6, 2017

NEY WA MITEGO NA MAGUFULI

NEY WA MITEGO: 


Nimshukuru sana Rais Magufuli kwa kuwa muelewa na kutambua Uhuru wa mawazo ya kazi ya Sanaa na wimbo huu ulitoka kwa ajili ya maudhui ya maisha yaliyopo kwa sasa sababu kazi ya Sanaa inahitaji ubunifu. Siyo wote wanapenda huu wimbo wa WAPO uendele kuwepo ila Wapo wanaotaka kuufuta huu wimbo usisikike kabisa.” – Nay wa Mitego

NEY alisikika akisema hivo kwenye kipindi cha XXL tarehe 04-04-2017 

No comments:

Post a Comment