Hongera mwanangu @rayvanny kwa kupata mtoto (My Favorite Artist WCB) najua unatamani kuwepo kumuona mwanao ila fanya kazi Kijana wangu!!

5,946 likes 17h sallam_skHongera mwanangu @rayvanny kwa kupata mtoto (My Favorite Artist WCB) najua unatamani kuwepo kumuona mwanao ila fanya kazi Kijana wangu!! RAYVANNY amebahatika kupata mtoto siku ya leo ya juma tatu tarehe 17 april 2017 , rayvanny amepata mtoto huyo kwa mtoto mzuri na mrembo anaeitwa fayma ambaye pia ni mtangazaji wa kituo Fulani cha TV hapa hap nchini TANZANIA

huyo ndo mrembo wa mchizi wetu ray vanny kutoka WCB
No comments:
Post a Comment