Shilole msanii wa bongo fleva kwenye miondoko ya muziki mchanganyiko amefungua biashara yake ya vyakula na vinywaji na kuita Jina LA SWISHING TRUMP Shilole ameweka wazi kuwa anawafanya kazi kumi aliwaajiri na kila mmoja anamlipa shilingi 200000 (Laki mbili) za kitanzania Lakini maisha ndiye anayelipwa pedal nyingi zaidi Shilole aliongeza kwa kusema kuwa yeye mwenyewe hajilipi mshahara.
No comments:
Post a Comment