HE IS FINALLY BACK!! ROMA NA WENZAKE WATATU WAMEPATIKANA< Nyota wa muziki wa rap nchni Tanzania ROMA MKATOLIKI ambaye ililipotiwa kuwa amepotelea kusiko julikana tangu tarehe 05-04-2017 amepatikana. Kwa taarifa za awali Roma na wenzie Wapo police OsterBay kwa ajili ya kutoa taarifa muhimu za awali Mpka hivi sasa haijaripotiwa chochote kilicho wasibu Huko walipokua na Nani has a Ni muhusika wa tukio Zima.
No comments:
Post a Comment