Diamond platinum amepost kwenye ukurasa wake wa Instagram gari ya kimara Aina ya hummer ikiwa I Mekuliza kwa juu na yeye mwenyewe Huko nyumbani kwake South Africa Diamond platinum kwenye caption aliandika Maneno ya kuonyesha anamshukuru mpenzi wake za zarina Hasan

No comments:
Post a Comment